Mama wema jana kaongea kwa uchungu sana kuusu magazeti yanavyo mwandika mwanae na kupata faida kubwa kupitia mgongo wa wema,uku wakimwashia sifa mbaya sana mwanae, lakini je ni kweli wema nae anaumia kwa kuandikwa au yeye mwenyewe ndie anapenda kuandikwa kila siku?