Kweli uchungu wa mwana aujuae mzazi

Kweli uchungu wa mwana aujuae mzazi

IKISU

Member
Joined
Jan 2, 2012
Posts
64
Reaction score
13
Uchungu wa mama wema kwa wema,nauliza mbona kama wema ndio wa kwanza kuwaita waandishi ili atoke kwenye magazeti sasa mama wema kwa kuwasema wa magazeti tu pila kumuonya na wema itasaidia kweli?
 
Huyo mama hamjui mwanae vema,ngoja aone shughuli yake sasa.
 
Back
Top Bottom