I IKISU Member Joined Jan 2, 2012 Posts 64 Reaction score 13 Jun 20, 2012 #1 Uchungu wa mama wema kwa wema,nauliza mbona kama wema ndio wa kwanza kuwaita waandishi ili atoke kwenye magazeti sasa mama wema kwa kuwasema wa magazeti tu pila kumuonya na wema itasaidia kweli?
Uchungu wa mama wema kwa wema,nauliza mbona kama wema ndio wa kwanza kuwaita waandishi ili atoke kwenye magazeti sasa mama wema kwa kuwasema wa magazeti tu pila kumuonya na wema itasaidia kweli?
T TUMY JF-Expert Member Joined Apr 22, 2009 Posts 705 Reaction score 93 Jun 20, 2012 #2 Huyo mama hamjui mwanae vema,ngoja aone shughuli yake sasa.