Ila wenyewe wanakwambia pombe ya nyumbani hainogi...Mhhhhhhh!
Mkuu mimi situmii kabisaaaa, naweza sababisha vita hiyo isiyoisha maana naishi na Ninja siku hizi!
Sema tu huwa naona kwa jamaa zangu wengi ambao wamekuwa hivi siku hizi.
Hahahaaa!! Hata mimi naona[emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahahaha, hapana ndugu yangu!
Kati ya watu ambao ujana hawajaufaidi basi mimi ni moja wapo !
Uh!! We mdogo wangu bado bado kidogo.We are done for good.
Ila wenyewe wanakwambia pombe ya nyumbani hainogi...
Good for you, sasa what next?Nilianza mapema kwahio ni mhenga nimestaafu
Hahahaaa!! Hata mimi naona[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Sijawai kuvutiwa kwenda kula bata usiku, siku kama ya jmosi na jpili nazitumia kukaa nyumbani kucheki mechi na series.
Hahahaha,
Mkuu na harakati za Bavicha unamuachia nani tena ???
Ahaha halafu watu wanadhani nina uhusiano wowote na CDM, kwa upande wangu sipendi kuona mtu anaonewa. Ni rahisi sana ninunue ugomvi hili mtu asionewe.
Kwa upande wa siasa sina chama chochote wala sijawai kumchagua kiongozi yoyote, kiufupi sipigagi kura.
Wewe Ubisu wa Ngariba na zile Kauli zako ukose Chama kweli ???
Kama unatetea ukweli basi hongera sana mkuu lakini kumbuka kuwa na chama siyo dhambi.
Next i'm gonna sleep.
Zaidi ya hapa mkuuUzeeke mara ngapi?! 🙂😉
MorningGood Morning.