Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Pamoja na uzoefu wa Simba kucheza marobo fainali yasiyo na tija kwa miaka mitano lakini hakuna walichojifunza au kusogea hapo walipo.
Yanga anakwenda bila uzoefu na amefika Fainali; Simba mnachakujifunza hapa au endelezeni majungu mtajua wenyewe.
Huwezi kuwa na dreams za kufika Fainali huku unasajili kinda waje kujifunza kwenye timu yako, badala ya kusajili watu wenye uwezo na kuleta matokeo.
Mliwashindwa kina Manzoki, Aziz Ki, Juma Shabani na wengineo......mkakomaa na vitu bei chee kama kina Banda halafu hapo hapo unaota ubingwa wa Africa.
Yanga anachukua Kombe la Shirikisho mwaka huu, mwakani anakwenda kuchukua Kombe la Klabu Africa.
Kuna mashine zinashushwa jangwani, endeleni na denial yenu na kuamini kuwa Yanga anabahatisha, mkija kustuka mmechelewa.
Ama kweli uzoefu sio lazima, ni Mipango na investment na sajili zenye tija
All the best Mshindani Yanga, asiyekubali kushindwa si mshindani