Kweli vijana Tanzania tumedhibitiwa na system, sawa hatuwezi kuandamana ila msituue!

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2012
Posts
4,351
Reaction score
9,838
Ni kujikosea heshima kupigana na mtu aliyefungwa kamba mikono na miguu.

Askari anayejikubali hawezi kwenda kuwinda wanyama mbugani..roho yake lazima imsute. Yeye amefundishwa kupigana na wapiganaji, Ni kwanini akamtafute mnyama asiyeweza kujitetea?

Simwongelei Sativa, hao ni wengi na nilishaongea na hakuna kilichobadilika! Nadhani ilitusaidia nerve agent VX..

Vijana tunaumia Sana Kisaikolojia!

Sasaivi matajiri wakubwa wanatokea serikalini!

Ukiuliza ule mjengo wa nani? Utaambiwa bwana mmoja serikalini.

Hizi semi za Nani.. watu wa serikali

Anaiba Sana wazee, na kila mahali ukienda ni mifumo inatengenezwa. Watu ni wale wale!

Sasa sisi tutatokea wapi? Lini na sisi tutashika hela?

Nilimsikia Mavunde juzi akiwa kahama kwenye tamasha sijui la malkia wa nguvu...mpaka nikakata tamaa!
Anachokiongelea kuhusu wachimbaji wadogo ni almost Kama hakipo, hao viongozi waliowekwa wa wachimbaji ni mamilionea na almost Kama hawana uhusiano na uchimbaji mdogo..

Unajiuliza Sasa nafanya nini, kila mahali kuko tight, Kuna watu na watu wana watu!

Hilo ni eneo moja tu nimegusia lakini situation iko hivyo all around.

Sasaivi kijana akimaliza chuo Kama anatokea kwa wakubwa anasema waziwazi..mlikua mnaniona wa kawaida, Sasa ngoja muone tofauti!

Yani tunalazimika kulamba matako wakubwa ili angalau maisha yaendelee.

Sasa wakuu, hamna sababu za kutufanya tujinyonge au tunywe sumu au tuongee mitandaoni mtukamate mkatulawiti.

Fanyeni hivii! Kwakuwa mmeamua kuwe na jamii ya madaraja, nyie kaeni hapo juu ila msisahau kutupa mifupa huku chini!

Aluta continua!
Victoria Ascereta!
 
Sasa kama unaishi kinyumbu nyumbu, kwa nini usiuwawe!! Vijana gani nyinyi mpaka wazee wanawashinda nguvu na maarifa? Yaani kirahisi unakubali kutekwa, na kwenda kuuwawa!! Huna nguvu wala maarifa ya kujitetea!!

Na kama huamini hiki ninachokiongea hapa, basi wewe ulizia tu kuhusu historia ya tajiri wa mabasi kule Mara kwa jina la Zakaria. Kuna watu wasiojulikana wasiopungua wanne hivi walijaribu kumteka!

Kilichowakuta, kamwe hawatokuja wakisahau katika maisha yao yote hapa duniani.
 
Zakaria tunajua Kama kijana alikuwa mtu wa system na ni moja kati ya watu wachache waliojaribu kumpindua Mwalimu na wakafeli.. ila wakabaki uraiani..
Usitulinganishe na kina Zakaria
 
Ni kujikosea heshima kupigana na mtu aliyefungwa kamba mikono na miguu.

Askari anayejikubali hawezi kwenda kuwinda wanyama mbugani..roho yake lazima imsute. Yeye amefundishwa kupigana na wapiganaji, Ni kwanini akamtafute mnyama asiyeweza kujitetea?

Simwongelei Sativa, hao ni wengi na nilishaongea na hakuna kilichobadilika! Nadhani ilitusaidia nerve agent VX..

Vijana tunaumia Sana Kisaikolojia!

Sasaivi matajiri wakubwa wanatokea serikalini!

Ukiuliza ule mjengo wa nani? Utaambiwa bwana mmoja serikalini.

Hizi semi za Nani.. watu wa serikali

Anaiba Sana wazee, na kila mahali ukienda ni mifumo inatengenezwa. Watu ni wale wale!

Sasa sisi tutatokea wapi? Lini na sisi tutashika hela?

Nilimsikia Mavunde juzi akiwa kahama kwenye tamasha sijui la malkia wa nguvu...mpaka nikakata tamaa!
Anachokiongelea kuhusu wachimbaji wadogo ni almost Kama hakipo, hao viongozi waliowekwa wa wachimbaji ni mamilionea na almost Kama hawana uhusiano na uchimbaji mdogo..

Unajiuliza Sasa nafanya nini, kila mahali kuko tight, Kuna watu na watu wana watu!

Hilo ni eneo moja tu nimegusia lakini situation iko hivyo all around.

Sasaivi kijana akimaliza chuo Kama anatokea kwa wakubwa anasema waziwazi..mlikua mnaniona wa kawaida, Sasa ngoja muone tofauti!

Yani tunalazimika kulamba matako wakubwa ili angalau maisha yaendelee.

Sasa wakuu, hamna sababu za kutufanya tujinyonge au tunywe sumu au tuongee mitandaoni mtukamate mkatulawiti.

Fanyeni hivii! Kwakuwa mmeamua kuwe na jamii ya madaraja, nyie kaeni hapo juu ila msisahau kutupa mifupa huku chini!

Aluta continua!
Victoria Ascereta!
Keybord Worriour
 
Mbona tumeona chadomo wanaandamana na ulinzi wamepewa na barabara wamesafishiwa. Kuna aliyeuliwa?
 
Sasa huna Kila kitu, HOFU ya nini?

Jitenge na HOFU, Toka mbele udai HAKI.
 
Back
Top Bottom