Kweli vijana Tanzania tumedhibitiwa na system, sawa hatuwezi kuandamana ila msituue!

Hawa wanaoteka watu watz wanawachekea tu.Nguvu ya umma ikiamua hakuna atakayezuia hata liwe jeshi hakuna wa kuzuia.Kwa Nchi zinazojitambua kama zile za misiri,Tunisia ,Algeria ,Kenya na Libya kitendo Cha huyo aliyetekwa na hao wa huni policcm tungeanza maandamano Nchi nzima ikiwezekana kuchoma moto vituo vyao vya utekaji kama Hivyo alivyosimulia mtekwaji(karakana ya wauaji osterbay).watapiga masase mwisho watachoka wenyewe.policcm Hawazidi hata laki mbili dhidi ya raia zaidi ya milioni55
 
Hamjadhibitiwa ila kuna kitu kimepenyezwa kati yenu kinachowafanya muwe waoga, mkose mshikamano na mgeukane.

Mkiweza kutengeneza ummoja usio yumbishwa even system haito watisha
 
Sio kwa TZ hii, mwengee una kitu sio buree, ule moshi sina imani nao kabisaaa. Lol
 
Hamjadhibitiwa ila kuna kitu kimepenyezwa kati yenu kinachowafanya muwe waoga, mkose mshikamano na mgeukane.

Mkiweza kutengeneza ummoja usio yumbishwa even system haito watisha
Boss Mimi ni activist, soma post zangu za juu!
Kuna masela walitumwa kwangu uzuri walikua washkaji, wakati ulee tukaonge tukamaliza.
Ila Ni hatari kubwa
 
Boss Mimi ni activist, soma post zangu za juu!
Kuna masela walitumwa kwangu uzuri walikua washkaji, wakati ulee tukaonge tukamaliza.
Ila Ni hatari kubwa
Unaona sasa, wako masela wanaokujua walitumwa, system has succesfuly imeweza kuwa turn one against each other, imefanikiwa kuwa devide and rule.
Kinachowafanya vijana wa kenya wawe effective, ni umoja usiotisika, wote wanaongozw ana common goal
 
Huwezi kucompare political system ya Kenya na hapa.. Ni vitu tofauti Sana.
Hao Gen Z wana watu nyuma yao.
Wewe umeona kwenye maandamano Kuna watu tena wenye uniform wanagawa maji.. bado unadhani maandamano yamejiibukia tu?
 
Uko right kwneye kitu kimoja katiba nayo ina wabeba, but hiyo peke yake is not enough, kuna kitu kinaitwa udhubutu. Incident uliyo elezea hapo ni rare but most of the police walikuwa wakifanya kazi yao as usual.

Do you think wale vijana wangekwua waoga or wanaingilika kirahisi? Si polisi kidogo sana wangepiga mkwara wangeshasepa?
 
Mradi usitukane tu, ukitukana utafinywa.
Kufinya ni kufanyaje vile? Sijaelewa naomba ufafanuzi.Hivi Sheria inasemaje Mtu akitukana?Yàani akifikishwa Mahakamani Mwendesha mashtaka anahitaji aje?Na adhabu ni kifungo au fine?Ufahamu Tu ili hata kwene simu Mtu akitukana ajue kuna Kufungwa.
 
hahahahahaaaa mkuu umenikumbusha ile scenario ilitokea nikiwa huko!Kwa hakika hawatosahau.Nashangaa mtu umeshakuwa influencer mkubwa unakosajekosaje kakitu😄..Basi hauna hako hata kale kakifaa kakuwapoza!!!
Shida vijana wanajisahau mtu ushakuwa maarufu tena kisiasa halafu unataka uishi social kama wengine haitakaa itokee.Simsemi mhusika lakini najaribu kutengeneza hoja kuwa ni lazima uwe alert sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…