hawajalamba asali ila wana Bosi mmoja, unayoyaona sasa hivi ndiyo ambayo yangetokea kama lowasa angeshinda uraisi ni kwamba walicheleweshwa tu kidogo lkn ni team moja, wanaripoti kwa Bosi mmoja wote, ukisikia maneno kama ya tundu lisu ujue kanyimwa hela kwenye wizi hivyo anawatisha sijui anaenda kwenye kaburi la Magufuli ujue anataka hela walioiba ndio maana unaona anadandia mada na kuishia njiani, ukiona amaeanza kuongea ujue wamemnyima hela wakishampa na nchini anaondoka …