Companero Platinum Member Joined Jul 12, 2008 Posts 5,606 Reaction score 1,711 Jun 20, 2009 Thread starter #121 Nyani Ngabu said: Hujatafuta tu maelezo kwenye mivitabu yako? Click to expand... Hayo maelezo ya kumjibu Zakumi kuhusu hiyo gap yapo humo vitabuni?
Nyani Ngabu said: Hujatafuta tu maelezo kwenye mivitabu yako? Click to expand... Hayo maelezo ya kumjibu Zakumi kuhusu hiyo gap yapo humo vitabuni?
Companero Platinum Member Joined Jul 12, 2008 Posts 5,606 Reaction score 1,711 Jun 20, 2009 Thread starter #122 Nyani Ngabu said: Hawana majina hao wajamaa? wako wangapi na wako wapi? Click to expand... Kinjeketile, Nyerere, Companero and the list goes on and on
Nyani Ngabu said: Hawana majina hao wajamaa? wako wangapi na wako wapi? Click to expand... Kinjeketile, Nyerere, Companero and the list goes on and on
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Jun 20, 2009 #123 Companero said: Kinjeketile, Nyerere, Companero and the list goes on and on Click to expand... Kwa hiyo nyinyi ndio mmevumbua ujamaa?
Companero said: Kinjeketile, Nyerere, Companero and the list goes on and on Click to expand... Kwa hiyo nyinyi ndio mmevumbua ujamaa?
Zakumi JF-Expert Member Joined Sep 24, 2008 Posts 5,063 Reaction score 2,478 Jun 20, 2009 #124 Nyani Ngabu said: Huyo Mpemba kaishia wapi? kulima mahindi? Click to expand... Sijuhi kaishia wapi. Kuna siku walimtoa mwandishi mmoja wa habari Tanzania wa miaka ya zamani yupo kwao Mbeya analima Avocado na kuishi maisha kama vile hakupelekwa Canada kusoma.
Nyani Ngabu said: Huyo Mpemba kaishia wapi? kulima mahindi? Click to expand... Sijuhi kaishia wapi. Kuna siku walimtoa mwandishi mmoja wa habari Tanzania wa miaka ya zamani yupo kwao Mbeya analima Avocado na kuishi maisha kama vile hakupelekwa Canada kusoma.