Kweli wapo waliopata kazi/ajira kwa kutoa pesa taslim au kupitia kwa waganga?

Kweli wapo waliopata kazi/ajira kwa kutoa pesa taslim au kupitia kwa waganga?

logan007

Senior Member
Joined
Nov 22, 2020
Posts
197
Reaction score
200
Habari wana JamiiForums

Hivi jamani wapo kweli watu waliopata kazi au ajira za kudumu kwa kutoa kiasi cha fedha (hongo, bakhshishi, takrima) au kupitia kwa waganga ili waweze kupata KAZI?
 
Mkuu,

Humu usitegemee watu watakuambia kua wamefanikiwa kupitia kwa waganga,hapa kila mtu atakana hata kama kweli anaenda.

Kikubwa usikilize moyo wako unasema nini..

All in all nakutakia Kila la kheri Mpambanaji.
 
We unaamini kwamba mtu anaweza pata kazi kwa kuroga?
 
Kama mwanasiasa anaenda kwa mganga ili NEC/mwenyekiti, wanainchi,rais, bunge wamuone na kumpa kacheo wewe ni nani hadi upinge?
 
We unaamini kwamba mtu anaweza pata kazi kwa kuroga?
Mimi naamini uchawi upo master na mafundi wa mambo wapo pia.

Ukimpata fundi kweli anayeyajua mambo hakishindikani kitu.

Kikubwa ogopa sana hawa matapeli wa mjini.

Waganga wa kweli wapo vijijini uko mzee.

Yaani HR Kila akiona CV yako anaona kabisa wewe ndio mtu sahihi Yaani.

Nakutakia kila la kheri master..
 
Kuwa mvumilivu na mtangulize Mungu kwa kila hustling yako unayofanya.achana na mambo ya waganga aisee.
 
Back
Top Bottom