Kweli weusi ni noma

jordah

Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
68
Reaction score
11
Weusi wamedhibitisha wao ndo best hip hop artist baada ya kuachia video ya nje ya box which is best video ya hip hop kwa upande wa hip hop in tz ever.
 
Hivi kuna watu bado wanaangalia video za muziki. Kuna nini jipya? Nahisi nimeshaona kilakitu kwenye musik videos tangu miaka mingi sana. Hata mtoto wa darasa la nne anaweza ku edit video ya muziki sasa.
 
Io video nikali sana big up kwa director nisher
 
Hivi kuna watu bado wanaangalia video za muziki. Kuna nini jipya? Nahisi nimeshaona kilakitu kwenye musik videos tangu miaka mingi sana. Hata mtoto wa darasa la nne anaweza ku edit video ya muziki sasa.

Sio kweli, nlikuwa namsikiliza Kendric lamar akijibu swali kama hilo linalohusu video za zaman na sasa alijibu vizur. Anasema technologia inakuwa refined sana kiasi video za sasa ni mchanganyiko wa script na high tech. Kw video za tz hakuna ulichoangalia ukamaliza kw sababu hata rangi ya video zetu bado sana..
 
Yaani hawa jamaa wanahitaji mwanamke kutafuta hela. Saa hii ni akili au utumwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…