Kwema Jamani!!!

Kwema Jamani!!!

Chagga King

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
1,866
Reaction score
1,076
....Hi, i am G, from KLM, i just wanna say hellow to everybody here, i am very potential so we can share together what we have.
regards
 
Ok,karibu JF,ila kwa swaga zako inaonyesha ni kijana wa Facebook na Watsap,hapa ni tofauti kidogo,hapa hatupost picha wala chatting zisizo constructive,ndio maana panaitwa home of great thinkers,karibu sana!
 
....ni kweli natumia hivyo vitu, lakini haimaanishi kuwa nipo JF kwa ajili hiyo, suala la ku share ni vile viko related na what u have said home of great thinkers, ya fb yatabaki FB
 
...sure, lakini ni kwamba niljoin muda sana, but nlikuwa nasuasua, sasa ni kama najitambulisha officially
 
Mi sjaelewa kwenye u-potential wako, in what aspect are you an expert?
 
Back
Top Bottom