Kwenda chuo ama ku resett masomo uliofeli

Joined
Mar 5, 2015
Posts
28
Reaction score
9
Wanajamvi hebu nipeni ushauri combination zangu hazija balance vizur sasa naombeni ushauri wenu niende chuo ama ni resett hayo masomo yanayo simamisha combination
 
Kureset mkuu kumbuka ni kwamba alama ulizopata zinafutwa kabisaa kana kwamba ukireset then ukaharibu Ndio zitawekwa hizo hapo LA msingi jitulie chuo tu ukasomee ulichokuwa unakitaka
 
Tena nenda chuo cha ufundi ukapate elimu ya vitendo itakutoa kimaisha.
 
we elimu ungeachana nayo tu ukawe mvuvi..form 4 wanafaulishwa hivyo then we bado umefeli?
 
Kurisit???? Nenda ug, kule hawana complications katika elimu, wao wanataka kila mtu asome.. Kwa maelezo zaidi nitafute
 
ww ni mjinga tofautisha kufeli na combination kuto balance

wewe ni umefeli,ungekua umefaulu hzo kombi zingebalance basi.wacha kupoteza muda kwa kitu usichokiweza,nenda kalime au kavue samaki.over
 
wewe ni umefeli,ungekua umefaulu hzo kombi zingebalance basi.wacha kupoteza muda kwa kitu usichokiweza,nenda kalime au kavue samaki.over

Heee,huachiiiii?
 
wewe ni umefeli,ungekua umefaulu hzo kombi zingebalance basi.wacha kupoteza muda kwa kitu usichokiweza,nenda kalime au kavue samaki.over

bdo nakuambia ww ni mjinga coz combination zangu za science ndo hazijabalance ila za art ndo zimebalance understand acha ujinga
 
wewe ni umefeli,ungekua umefaulu hzo kombi zingebalance basi.wacha kupoteza muda kwa kitu usichokiweza,nenda kalime au kavue samaki.over

Nafikiri ni teenager kwan shule hazijafunguliwa.

Ukiona huwezi kumshauri mtu kasaidie nyumbani kukuna nazi sio kuvunja watu moyo
 
Wanajamvi hebu nipeni ushauri combination zangu hazija balance vizur sasa naombeni ushauri wenu niende chuo ama ni resett hayo masomo yanayo simamisha combination

Ushauri wa asiyejua na aliyeshindwa au ambaye hakuwahi kujaribu unachomuomba akushauri siku zote ni kukukatisha tamaa.Mimi nashughulika na watu wanaorudia mitihani na wanafanikiwa sana wanaosema ni kupoteza muda hakika hawajui walisemalo.

Kwenda chuo wakati elimu yako imesimama palepale ni sawa na kupita njia ya mkato kumbe inakurudisha nyuma zaidi lakini kwakuwa huoni mbele unajifariji kuwa utawahi kufika.Hebu jiulize baada ya kumaliza fani unayoenda kusomea huko chuo ukienda kuomba kazi wataangalia cheti kipi? Ukweli ni kuwa wataangalia cheti cha taaluma ya chuo halafu watarudi kwenye kiwango chako cha elimu wanakuta umekomea kidato cha nne au cha sita.Kiwango cha elimu ndicho huamua kiwango cha mshahara bila kujali umeiva kiasi gani katika fani yako.

Ushauri wangu:
Katika elimu hakuna kupoteza muda huko ni kujidanganya na kutaka mafanikio ya haraka ambayo huwa hayapo.Najua wapo watakaosema kuna watu waliofanikiwa bila kurudia mitihani na kusafisha vyeti vyao lakini je,wewe uko tayari kubahatisha kiasi hicho?
 
Hi. Nitakupa true fact kidogo kabla ya kutoa mchango wangu. 2005 nilimaliza form 4 na kupata div 4 yenye credit 2 I mean c-2 na d flat.mwaka ulofuata nikajioanga kurudia paper kwa nia so nikafanya registration kwa sababu nilifanya maamuzi kwa dhati bila kusukumwa na mtu nili pass pepa zote nilizofanya kwa ngazi ya B B C masomo 3 niliyo fanya pepa. So inategemea na malengo na kujituma kwako for sure.mimi naamin kama umedhamilia kurudia kitihan na una ndoto za kuendelea you will make it.all the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…