Kwenda Club Usiku

Kwenda Club Usiku

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Aisee katika mambo yote ambayo vijana wenzangu wanafanya Ishu ya kwenda club usiku Ilinishindaa kabisaa... Niliwahi jaribu kwenda Club next door siku nkaishia kulala tu nkaona hii sio Fani yangu kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sikwenda tena hadi kesho siwezi sema Nitaudhuria show ya msanii usiku wala kwenda Club...

Ni kitu gani Kilikushinda kufanya wakati watu wanaenjoy kukifanya??
 
Puli imenishinda wakat wengine wanainjoi
 
Nilipiga ikanishinda [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee ile huwa unajikuta tu unapigaa...
 
Aisee katika mambo yote ambayo vijana wenzangu wanafanya Ishu ya kwenda club usiku Ilinishindaa kabisaa... Niliwahi jaribu kwenda Club next door siku nkaishia kulala tu nkaona hii sio Fani yangu kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sikwenda tena hadi kesho siwezi sema Nitaudhuria show ya msanii usiku wala kwenda Club...

Ni kitu gani Kilikushinda kufanya wakati watu wanaenjoy kukifanya??
Napenda sana CLUB next door.Nasikia imefungwa baada ya uchumi kushuka. Je itafunguliwa lini tena?
 
Back
Top Bottom