Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

Last edited by a moderator:
Erickb52 ni mtoto anahangaika...................

Wazee wazima tumetulia ........................

Yummy kaenda wapi?? Alikuaga?? Kuna kesi naona hapo anatakiwa kuijibu simpati kwenye simu

Ameenda kununua mapochopocho ya kuja kupika usiku au umesahau wewe ndio umemtuma
 
Nilipokuwa bachela nilikuwa na GF kila akija kunitembelea lazima aache kitu....baada ya mwezi nyumba imejaa makorokoro yake.....Tuliposhindwana akaja na FUSO kuhamisha mali zake....hapo hatujaoana wala hakuhamia rasmi kwangu
 
shem we nae kwa kujigonga gonga kha!! jamaa anakutolea nje hadharani lakini we bado umo tu. Au ndio ile kitu ya ushauri wa mzee Mtambuzi ya king'ang'anizi?

Shem nitake radhi nani kanitolea nje??? My Husband??? Wewe nakupa ten minute uwe umeomba radhi la sivyo na report abuse Mr. Rocky hebu mwambie huyu jamaa
 
Ewaaaa..... kwa uelewa wako, naweza kukukabizi mjukuu wangu mwaJ. Unasemaje? Kama vipi pia kuna Blue G.

Babu Asprin mbona unaanza kupanga kunigawa kwa Mwita Maranya bila kuniuliza kwanza? Kama siko tayari je? si utaaibika kwa wazee wenzio? Hivi umemuona wapi Kaizer? Maana hanitumii hata salamu. Hakawii kuja kunidanganya alikuwa vitani wakati hakuna vita yoyote zaidi ya mabomu ya FFU. Mwambie siku hizi najua kusoma magazeti. By the way, kuna kamsemo umekatoa mahali nataka kukafanya signature yangu.
 
Last edited by a moderator:
Wakristo tunasemaka mkioana mnakuwa mwili mmoja,sasa huo mwili mmoja wa kuacha vitu vingine ni unafiki yani hata kama una nyumba ndio unaingia na mumeo raha mustarehe kabisa.
 
Mzee mzima kwa jinsi tunavyoheshimiana mimi na wewe, kati ya mwaJ na Blue G yeyote utakayenikabidhi mimi niko radhi.
Mwita Maranya shauri yako! Utauziwa mbuzi kwenye gunia ohoooooo! Babu Asprin hajatu consult kujua kama tutakubali au la! Mambo ya kulazimishana hakuna siku hizi. Labda Blue G lakini mie mmmh! Kupangiwa bila maelezo sitaki.
 
Last edited by a moderator:
Mwita Maranya huyu nimetoka nae mbali aise hata kwa greda hatoki hapa
Hao wengine ni wakuja na kuondoka ile yeye ni wa kufa na kuzikana
So na wewe usilete za kuleta hapa au na wewe unataka uingie kwenye ligi

mkuu Mr Rocky mimi huyo Dena Amsi ni shemeji yangu kwahiyo sina maslahi yoyote ya kunifanya niingie kwenye ligi. Mimi namhurumia tu anavyohangaika pamoja na kumhakikishia kwamba hata kwa grader hatoki. Mimi sijui na sitaki kujua unampa nini hadi awe king'ang'anizi kiasi hicho pamoja na kutambua wako wangapi!!
 
Last edited by a moderator:
Mwita Maranya shauri yako! Utauziwa mbuzi kwenye gunia ohoooooo! Babu Asprin hajatu consult kujua kama tutakubali au la! Mambo ya kulazimishana hakuna siku hizi. Labda Blue G lakini mie mmmh! Kupangiwa bila maelezo sitaki.

Wala usihamaki hivyo mwaJ kila kitu kina starting point. Asprin ilibidi apate ridhaa yangu kwanza kabla hajakuuzia wazo. Sasa cha msingi hapa ni sisi wenyewe(mimi na wewe) kujiongeza tu hatuna sababu ya kumsubiri tena Asprin, kwa jinsi navyomfahamu huyo mzee hachelewi kubadilika.
 
Last edited by a moderator:
Like, like, like x100000000000000000000000000000

Hitimisho: Kongosho, cacico na BADILI TABIA wataendelea kuwa wake wenzangu(si kwako lakini ujue......wenyewe wanaelewa kila mtu kivyake vyake) UTAJIJUUUU
Potelea mbali.... wale wajanja hata kama wanaiba wanaiba responsibly. We hata vichochoroni kila mtu kishajua.... khaa!
 
Mzee mzima kwa jinsi tunavyoheshimiana mimi na wewe, kati ya mwaJ na Blue G yeyote utakayenikabidhi mimi niko radhi.
Asprin mi mwenzio siko radhi si unacheki hilo jina Mwita Maranya,we unajua mapenzi kwa mwanamke yanamaanisha nini kwa watu wenye majina kama hayo a.ka. akina tata mura,kipigo mpaka ukandwe na maji ya moto aakkkkkkkhhaaa mie naogopa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…