Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
naskia inaitwa misk niliisoma fb huko ...nipe jina lako nikuaad kwenye ilo group ,by the way kwani k yako ina dhoruba gani hadi uipake dawa? raha ya kula ni uwe natural
hiyo poa ,kuliko aolewe akute huyo mwanaume ana kila kitu mpka tambala la deki!
kwa nini wanaume huwa hamjiamini?
haswa inapokuwa mwanamke ana kila kitu?
kwa nini umuwazie mwenzio mabaya?
kuna wanaume wabinafsi wachoyo na wanyanyasaji wasiotaka ndugu za wake zao ....lakini hili halimfanyi mtu aone wanaume wote hawafai...
vilevile kuna wanawake wabinafsi wachoyo na wanyanyasaji wasiotaka ndugu za waume zao ... hili pia halimfanyi mtu ahukumu wanawake wote........
ndoa ni vile mnavyoijenga tangu mwanzo
na ujenzi huu unategemea tabia ya mwenza uliyemchagua...
na inatiwa uimara na kujiamini kwa wanandoa
naskia inaitwa misk niliisoma fb huko ...nipe jina lako nikuaad kwenye ilo group ,by the way kwani k yako ina dhoruba gani hadi uipake dawa? raha ya kula ni uwe natural
sasa si nataka kumsaidia jamani
mimi naitwa AGNETH NATAKA TU KUJUA KAMA INAMADHARA GANI?
ahaaa mi si mdau mimi napenda kuwa natural wazanzibari bwana hadi k inaungwa eti iwe tamu...wazushi wale eti wanaweka na nazi na asali ..upuuzi mtupuHahaha, wewe hujatulia yaani mkwe! Sasa hiyo misk, kwani yeye kasema anataka dawa ya mapunye, utangotango, ama ya kuongeza urefu? Hilo group lenu la fb mnadanganyana tu mtakuja kuachwa! Mchaga akikutana na msik anajua kalogwa, aliekushauri mzanzibar. Ohoo!
heti hadi kitanda cha kumlia mkeo tunda upewe na mama mkwe ni sawa kweli?Sio kwamba tunawawazia mabaya wenzetu, ukweli ni kwamba "experience is the best teacher"
Tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia jinsi baadhi ya wanaume wanavyonyanyasika ndani ya ndoa zao, kisa mke kafungashiwa kontena la vitu kutoka kwao.
Smile kumbe we mtata hivyo? ndio maana rejao amedata, si bure!!ahaaa mi si mdau mimi napenda kuwa natural wazanzibari bwana hadi k inaungwa eti iwe tamu...wazushi wale eti wanaweka na nazi na asali ..upuuzi mtupu
sijui kwa kweli ndugu yangu...mimi nimeona ajabu kweli ..zawadi zingine mitihani bwanaas a man siwezi kuoa kabla ya kujipanga kimaisha na kuhakikisha kuna uwezo wa ku-sustain familia. I wouldn't be comfortable otherwise. Smile huyo kijana vipi? does he have a direction in life au yupo yupo tu?
heti hadi kitanda cha kumlia mkeo tunda upewe na mama mkwe ni sawa kweli?
ahahaa kuna zawadi na zawadi bwana ..hadi vitanda vya nyumba nzima?
ahahaaa acha udaku
wao wanasema ni mila na utamaduni. kwahiyo wanadumisha tu mila zao.zawadi zipo ..ila zingine mmmh ni kero sasa si watoe hiyo hela?