Kwenda nje ya Ndoa/UMALAYA(Sababu za Kusaliti Pendo)

Jpinduzi

Senior Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
136
Reaction score
68
Sababu za Kusaliti Pendo
*Kutopata mapenzi ya kweli hasa ikiwa Kijana/Binti alilazimishwa kuoa/kuolewa na mtu ambaye hakumpenda “for the sake of Radhi ya Wazazi”, maadili, kuhofia umri n.k..
*Uchafu, kutojijali au kujipenda.-Wote mwanaumena mwanake.
*Kutoridhika au kutosheka na wakati mwingine uroho tu- Wanaume zaidi.
*Mmoja wenu kuwa na shughuli nyingi za kikazi/Biashara, kusafiri – Wote mwanamke na mwanaume..
*Tamaa ya kumiliki vitu Fulani –Wanawake zaidi.
*Kujaribu na kujifunza mambo mapya/mitindo lakini kutokana kufuata maadili unaogopa kuwa wazi kwa mpenzi wako-Wake kwa waume..
*Kukosa tendo la ndoa kwa muda mrefu ikiwa mwanamke ana Mimba kubwa /amejifungua n.k-Wanaume.
 
kuishi mikoa/nchi tofauti
kuoa kwa haraka alafu baadae kupanda economical ladder na kumuona mwenzio sasa sio level yako
 
kuoa / kuolewa kwa haraka alafu baadae kupanda economical ladder na kumuona mwenzio sasa sio level yako

Ulisahau hapo kwenye bold!

sababu nyingine ni roho mbaya na ukatili usiokuwa na maana wa kutomwambia ukweli mwenzio ikiwa penzi kwake limeisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…