Angepakia ya ugwemo mbona yapo Dar-Ugweno... sema tu wapare wa Same wanakachuki na wapare wa miliman uko Ugweno na UsangiWapare watakuwa Wana tatizo basi, ina maana hakuna hata mpare mmoja amechukuwa hiyo route ya Same kutowa huduma ya usafiri?
Yapo ya Ugweno linaitwa Mvungi Ungepakia hayoNiliwahi kuuliza swali kama hili.
MaranguBasi lako ni lipi hasa mkuu au Esther?
Kumbe hupogo?Who cares? Ulivoweka tetesi nikajua ni jambo la maana
Kwahiyo wakitaka kituo Kwa kituo wapande treni ndio nauli zao ziko hivyo.Same bado ni wilaya iliyomezwa na wilaya ya Moshi, kwahiyo Moshi inatumika kama base point kwa basi za mikoani, hata Mwanza sijawahi kusikia nauli ya Moshi Misungwi ikawa tofauti na Moshi Nyamagana/Nyegezi