Sokwe Mjanja
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 576
- 297
Jamani kama kuna mtu ana details ya connections kwenda Seychelles please anisaidie, nina maana nikitaka kwenda naunganishia wapi ndege, nitashukuru kama kuna anaejua na nauli yake tafadhali! Mungu awabariki sana
kama uko bongo (TZ), Kenya Air Ways (KQ) ndo cheap kama dola mia 750 return, kwani kipindi hiki ni msimu wa watalii.
Kama unatokea UK,France, South Africa au Ital Air Seychelles ndo nafuu.
Kama unatokea bongo. kula mchuma bus had Nairobi then kamata KQ itakuwa kati ya dola 450-500 return.
Kama utataka kukutana na wabongo ama watu wa kukupa kampani ukiwa huko nita kupa informations na contact zao.