MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Nilikua namuona yuko smart,kumbe ni emptyHuyu Dr Kimei ana shida aisee, majuzi mbele ya Mhe SSH ametoa kauli ya ajabu eti watu wsruhusiwe kufanya shughuli za kibinadamu kwenye half mile strip kule juu Kilimanjaro NP, Mhe rais akampinga hadharani na kumkumbusha kwamba hali huko juu milimani ni mbaya na mabarafu yanaisha. Pia Dr Shoo akamshangaa mbunge huyo!! Pia amejichanganya kwenye issue ya Moshi kuwa jiji yeye anazungumzia sijui kupata Halmashauri nyingine. Atulie akipange mazee..
🤣🤣🤣Ukitaka Kuona nyeti za Kuku subiri upepo upulize.
CRDB alikokua turudi nyumaUkisema ukweli unachukiwa
Ndio maana wateja wa ile bank wanalalamika sana. Huyu mzee anazeeka Vibaya Sasa.CRDB alikokua turudi nyuma
Hafai kabisa sijui wale wabunge wetu wa upinzani walikwenda wapi lakini tutawarudisha tu.Nilikua namuona yuko smart,kumbe ni empty
Kauli ya Mbunge wa Vunjo, Dk Charles Kimei kuwa wachaga wanapenda biashara ya magendo inaonekana kuchafua hali ya hewa ambapo kikundi cha wazee kutoka jimboni humo kimejitokeza na kutoa tamko kali dhidi yake.
Katika tamko hilo, wazee hao wa kichaga wamelaani kauli hiyo na kwamba wanachukulia kauli hiyo kama matusi kwao na kumtaka Dk Kimei ajitokeza hadharani na kufuta kauli hiyo katika kumbukumbu rasmi za Bunge.
Taarifa: mwananchi_official
KEROZENE ninaungana tena kwa 100%.