Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 566
- 1,583
Wakuu kwema!???
Ndani ya week hii kumeibuka jambo moja la kupigiwa mfano na Watanzania wote wanaopenda mabadiliko.
Kuna kijana Machachari sana anaitwa anaitwa Mussa Ndile(Kama sijakosea) nimepitia background yake jamaa ana profile kubwa kidogo sio kitoto ,yeye ndie master mind wa ule mgomo pale Mawasiliano,mpaka kumfanya RC na DC kufika pale na bado hakawazidi kwa hoja………..jamaa alikuwa anatoa nondo kabisa,Mpaka Chalamila na DC wake wakakosa cha kuzungumza
Nimeona jamaa anasifa zote za kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA ukiachana na kina Pambalu ambao sioni Kama wanaifanyia vyema kazi Yao………..Nasikia yupo busy anautafuta Ubunge wa Nyamagana,Mungu ampiganie sana……..
Twende kwa Bwana Ndile!!!👇🏾👇🏾
Huyu aliwahi kuwa mwenyekiti wa CHASO, IFM
Aliwahi kuwa Waziri mkuu IFMSO
Ana degree ya IT (Sifikirii Kama Pambalu au Mwaipaya wana degree…….SIFIKIRII KABISA)
Alishawahi kuleta mgomo na maandamano makubwa sana pale IFM ili tu kudai maslahi ya Wanafunzi wenzake , kama alikuwa na uwezo wa kukusanya wasomi chuoni wamsikilize atashindwaje kuongea na kujenga hoja!?? Na baadae alilala mahabusu kwaajili ya harakati za kutetea nchi na Chama kwa ujumla
BAVICHA ukiachana na John Heche pamoja na Ole Sosopi,wengine wote waliofuata walikuwa ni Kama viongozi wa UVCCM,kuna mtu alinambia John Pambalu lilikuwa chaguo la Mbowe sio la vijana wa CHADEMA
CHADEMA tuleteeni yule Machinga tafadhali