Kwenu dada zangu:HUU NI MWAKA WA MABADILIKO.

Kwenu dada zangu:HUU NI MWAKA WA MABADILIKO.

GJHariohay

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
1,041
Reaction score
1,160
DADA ZANGU HUU NI MWAKA WA MABADILIKO.

TAKE IT OR LEAVE IT.

Umempata bwana...
Umempenda kweli...
Umemlalamikia kwa nini hakupeleki kwa wazazi..
Bwana akakupeleka kwa wazazi wake kukutambulisha.
Siku ya kwanza umeshinda unachat...
Siku ya pili umeshinda unachat...
wanakutazama tu,
Siku ya tatu ukaambiwa sasa zamu yako kupika, vya huku unaweka huku...vya hapa unaweka pale...
Yani hujui kupika kabisa...sufuria unashika utadhani umeshika powerbank, unapika na lipstick mdomoni, umevaa saa, umevaa ma culture msosi wa kula wakwe zako huwezi kupika...
Umevaa "MINISKIRT" hata wafanyakazi wa Fastjet au KQ ama Fly540 umewapiku..
Ukiambiwa kuwa hufai kuolewa unavuta mdomo kama umenyimwa ubuyu...
Unaanza sema wakwe hawakupendi ...unalalamika weeeee mpaaaka!!
Unashindwa kuelewa kuwa wewe ndo tatizo..
Usitake kuolewa ukadhani mumeo atakuwa anakula chips na wewe utakuwa unakula Pizza kila siku.
Tambua hata kuchemsha chai basi jamani au unadhani Google wataleta APP ambayo unaweka USB kwenye simu unaielekezea kwenye sahani inaproduce msosi???? Nyoooo!!!
Tumia akili ndoa kujipanga...
Usidhani ndoa ni kama kupiga picha huku umejibinua binua makalio na kujifanya kama mlemavu..mguu mmoja mrefu mwingine mfupi...
Ni mtazamo tu, Take it Or Leave it
 
Naona huu ni mwaka wa kuelezana ukweli,nadhani wahusika watapokea na kufanyia kazi
 
Makav live no kupindisha. Wajirekebishe.
Huwa wanadhani ile kuwa slay queen, na maisha ya kizungu yanakwenda mpaka kwenye ndoa kumbe ndivyo sivyo.

Wakikataliwa na wakwe kwasababu ya tabia mbov wanalalama?
 
Makav live no kupindisha. Wajirekebishe.
Huwa wanadhani ile kuwa slay queen, na maisha ya kizungu yanakwenda mpaka kwenye ndoa kumbe ndivyo sivyo.

Wakikataliwa na wakwe kwasababu ya tabia mbov wanalalama?
"Slay Queen"
hill jina hili huwa linanivunja mbavu [emoji23]
 
Back
Top Bottom