Kwenu Halmashauri ya Morogoro (V)

Kwenu Halmashauri ya Morogoro (V)

The Hyper

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,788
Reaction score
1,101
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Naandika hili kuwakumbusha juu ya jambo moja kati ya mengi yaliyo kwenu;

¶Limetoka agizo la kupandisha vyeo watumishi wenu wote wanaostahili lakini mnajivutavuta hadi sasa. Payroll ya mwezi huu kwa
watumishi wenu hakuna mabadiliko.

¶Kwenu wahusika katika idara zote;

Je, mmvumiliwe hata lini?

Je, mmenia kuifarakanisha serikali&watumishi wake?

Au mnataka mmalize vibaya?
Wasalaam!!
 
Unaweza ukawalaumu wagawawaji wa chakula, kumbe tatizo lipo kwa wapishi jikoni! Sisi mbona kwenye Halmashauri yetu wachache wamepandishwa, na wengi tumeachwa!!!
 
Kuwa na subira mkuu, haki ya mtu haipotei hata kama itacheleweshwa!
 
lindi mc nako Idara ya elimu majanga wengi hawajapandishwa hasa ajira ya 2014
 
Back
Top Bottom