Pole sana usikate tamaa
Unataka kutuambia unabishara unafanya
Hongera sana nimegundua hao madada ni visu hatari maana hakuna hata aliyebaki na unawaonea wivu mashemaji hadi hutaki kuwaona!5 ila siawapendi hata kuwaona ..
Hahaa, nimekua kibibi kweli aisee, nitolee nuksi basi, maana naskia kuolewa ni kutoa nuksi[emoji3]Wee ushakuwa bibi bomba bila shaka