Kwenu madereva na wamiliki wa vyombo vya moto njooni tusemezane hapa

Kwenu madereva na wamiliki wa vyombo vya moto njooni tusemezane hapa

Kingsharon92

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
7,843
Reaction score
10,321
Natumai wote my wazima.
Poleni na majukumu ya kusaka ngohora.
Moja kwa moja niende kwenye hoja.
Kwa muda mrefu madereva tulip wengi pia wamiliki wa vyombo vya usafiri magari pikipiki Bajaj.
Tumekuwa na lawama Sana kwa vyombo vya Dola haswa Traffik na polisi.
Kwa unyanyasaji wao kwa sisi madereva na wamiliki wa vyombo vya usafiri.
Sasa nakuuliza hivi kabla ya kulaumu.
Tulishawahi kujitafakari sisi wenyewe ? 1'je dereva umekidhi vigezo vyote vya kuitwa dereva?
2, Je mmiliki wa gari umetimiza vigezo vyote vya kisheria wa chombo chako ? Utafiti wangu nikiwa Kama mkongwe wa muda mrefu wa magari.

Leo hii Serikali ikiamua kufanya ukaguzi wa magari haswa magari ya abiria 85% yatapaki au kurudi gereji sababu Ni mabovu 62% Ya madereva hawajakidhi matakwa ya kisheria

Karibuni
 
1. Madereva wote wana leseni.

2. Magari yana stika ya Ukaguzi.
 
Takwimu zako unazipata wapi?

Kwa taarifa yako hayapo magari ambayo yako serviced regularly kuliko magari ya abiria.
 
Wakati mnashangaa ya mtoa mada shangaeni na hili tangazo .
FB_IMG_16203181044222988.jpg
 
Back
Top Bottom