K keshaulo Member Joined Jan 7, 2020 Posts 85 Reaction score 69 Sep 25, 2020 #1 Hivi naweza badilisha chuping ambayo ipo kwa nyumba? yaani naifuta kwa skimming? ili nipige rangi kawaida.
Hivi naweza badilisha chuping ambayo ipo kwa nyumba? yaani naifuta kwa skimming? ili nipige rangi kawaida.
mboga TZ JF-Expert Member Joined Sep 25, 2018 Posts 444 Reaction score 503 Sep 25, 2020 #2 keshaulo said: Hivi naweza badilisha chuping ambayo ipo kwa nyumba? yaani naifuta kwa skimming? ili nipige rangi kawaida. Click to expand... Inawezekan lakin jiandae kwa material kutumika mengi ujiandae kununua white cement za kutosha mkuu.
keshaulo said: Hivi naweza badilisha chuping ambayo ipo kwa nyumba? yaani naifuta kwa skimming? ili nipige rangi kawaida. Click to expand... Inawezekan lakin jiandae kwa material kutumika mengi ujiandae kununua white cement za kutosha mkuu.
Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,535 Reaction score 14,840 Sep 29, 2020 #3 keshaulo said: Hivi naweza badilisha chuping ambayo ipo kwa nyumba? yaani naifuta kwa skimming? ili nipige rangi kawaida. Click to expand... Futa kwa plasta,ndio ufanye skimming,kisha rangi,ukifuta kwa skimming nyumba itakuwa ya ajabu,ukifuta kwa plasta ukuta unanyooka vizuri,gharama iinakuwa nafuu,plasta ipigwe nyembamba sana,ikiwa nene itatengeneza ngoma.kila la kheri.
keshaulo said: Hivi naweza badilisha chuping ambayo ipo kwa nyumba? yaani naifuta kwa skimming? ili nipige rangi kawaida. Click to expand... Futa kwa plasta,ndio ufanye skimming,kisha rangi,ukifuta kwa skimming nyumba itakuwa ya ajabu,ukifuta kwa plasta ukuta unanyooka vizuri,gharama iinakuwa nafuu,plasta ipigwe nyembamba sana,ikiwa nene itatengeneza ngoma.kila la kheri.