Kwenu mlio Nyumba Ndogo, zingatieni haya kwa uhusiano endelevu

Kaizer

Platinum Member
Joined
Sep 16, 2008
Posts
25,324
Reaction score
17,846
Wadau, herini kwa sikukuu zinazendelea na poleni kwa maumivu ya ukata maana mida hii mishahara kwishnei akaunti zinasoma ndivyo sivyo

Sasa naomba niseme kitu kwa nia njema kabisa (good faith) ili kuwapa neno la tahadhari au ushauri wa bure kwa wale kina dada/mama ambao ni wapenzi wa pembeni al maarufu nyumba ndogo wa wanaume ambao wameoa tayari au wana wapenzi wao wengine

kwamba hili suala lipo na limeshamiri halina ubishi na ndio maana ni muhimu kwenda nalo kwa umakini mkubwa ili kutoumiza hisia za yeyote anayehusika


nianze kwa kusema kwamba wadada muelewe unapotongozwa na mtu mwenye mpenzi wake na ukakubali maana yake ni kwamba terms and conditions apply...umekubali kwamba kuna mwenzako na wewe utakuwa unofficial, sababu za kutongozwa zinaweza kutofautiana baina ya mtu na mtu ila mwisho wa siku hakuna mtu mwenye mke wake angependa nyumba ndogo ilete mushkeli nyumbani kwake. Hivyo hebu jaribuni kufanya/kuepuka kufanya haya

1. Epuka sana sana kumkera mwenzi wako kwa namna yeyote ile. Kumbuka wengi wenye wake zao na family tayari wana majukumu ya kikazi na kifamilia na huko huenda ana stress za kutosha, hapendi kupata tena stress kutoka kwako..kwako amefata faraja na tulizo japo kwa muda au moja kwa moja. Kuongeza stress kwake ni kama vile kudhani kuwa yeye ni mwarobaini wa matatizo yako yote hivyo 'kumsumbua' kila mara kwa msg za kutaka kwenda saluni, kitchen party, besidei, bibi mgonjwa, n.k.

2. Jali sana Muda,,,,,mkipanga kukutana sehemu kwa ajili ya 'kula bata' usiwe mchelewaji bila sababu wakati hapo umewezeshwa nauli na mambo mengine, unamfanya akufikirie vingine, lakini pia wote mna muda mfupi kwa mujibu wa sheria zetu zile,

3. uwapo kwenye 6x6 jitume, kuwa mpole and romantic, sio dakika mbili tu mara umeanza "baby come" mara umeranduka unaenda kuoga, apo mpo hoteli ya maana, unakuwa huonyeshi kujali hisia zake wala gharama. Usionyeshe kukereka eti kwa vile ametaka mdinyo na ww unajitia ashk majinuni hutaki le gadem sex

4. Usitake pesa immediately after sex, itakufanya uonekane ma.laya, ijapokuwa usingependa kuonekana hivyo, wanaume wanaojitambua huwa wana attend mahitaji yako MUHIMU bila kuambiwa. Anakukatia mshiko wa maana, nenda kanunue vya muhimu sio unapewa laki tatu halafu after one hour umetuma zile msg za kukera "tafadhali niongezee salio"

5. Usitake kufanya ushindani na nyumba kubwa, in fact show respect kwake na usipende kuanzisha maongezi ya kuihusisha na mahusiano yenu. Mfano kama unapenda kwenda kiwanja fulani ww sema tu ila usiseme 'mbona umempeleka mama Mcharo Yamoto band, na mimi nipeleke Malaika Band"....hapo unatuma salam kwamba umepewa lift unataka kupiga na honi, haileti picha nzuri hata kidogo.

6. Jiweke kuwa msafi muda wote, sifa yako muhimu ndio hiyo otherwise kama unakuwa hovyp hovyo, nambie sababu ya wewe kuendelea kuwa naye ni ninii? Usafi sio wa nje tu hata wa ndani

7. Kuna hili la wengine kukariri kwamba wanaume wanapenda kukatiwa mauno kama ya Akudo muda wote basi akifika kunako uwanjani anakata le gademu mauno kuanzia mwanzo hadi mwisho, aloo apo kwani jukwaani? Mdinyo ni mpana sana na sio mauno tu

9. Kuwa wazi kuhusu mahusiano yako kama unayo mengine, mf kama una Boyfriend mwingine nk, sio unajifanya kauzu na kumfanyia mwenzio emotional blackmailing kwa vile unalipiza kutendwa na mjamaa kabla, unakuwa upo naye tu kama kumkomoa(kujikomoa?)...ukiwa wazi kwake anaweza kukushauri pia how to get over it maana wengi wana uzoefu wa mahusiano. Lakini pia itasaidia mambo mengi maana wengine inakuwa upo na mtu wako ila muda wote simu iko busy mara kupokea mara kupiga na haijulikani zinatoka wapi

10. Epuka sana kumjadili mtu wako na mashosti zako....hilo linaonyesha baadaye kuwa na mwitikio has maana watamwinda na wenyewe wapate kufaidi au kukukomoa.

11. Onyesha kwamba ni mtu wa kufikiria maendeleo pia, sio kula bata tu. Mshirikishe mipango yako ya mbeleni kama kusoma zaidi, kujenga, kutafuta kazi nzuri zaidi nk, atakuunganisha.

Ni hayo kwa sasa wengine mnaweza kujazia. Niseme tena in good faith sikusudii kumuoffend mtu ila ni mambo ambayo yapo ndani ya jamii na uratibu ni muhimu....ili kupunguza kutokuelewana kusikokuwa na lazima.

wazee wenzangu mna lipi la kuongezea?

CC Teamo, na The Boss, hii isomwe pamoja na "the Guide" you know
CC Asprin RR Fidel80 Filipo mwekundu OLESAIDIMU Himidini Pdidy Mr Rocky Nicas Mtei paka jimmy Mtoto halali na hela @ kikulachochako mdukuzi Mwanyasi warumi @ eiyer mgiriki Elli MO11 Tyta watu8 Matola mshana jr GOOGLE utafiti Vin Diesel KakaKiiza Ntuzu Dark City TANMO Eli79

Mabebs mnasemaje?
masai dada mwanajamii1 Rose1980 LD Askofu Kim nana tinna cute Heaven on Earth Honey Faith mamaafacebook Ennie lara 1 charminglady mwallu Khantwe Preta miss neddy Evelyn faith Mamndenyi miss chagga everlenk atoto DEMBA Arabela na wengineo wote

Mawatakia mwisho wa mwaka mwema wote tuuone mwaka 2015!

Update1


Update 2
 
Ngoja kwanza nione kama hii matirio ipo kwenye rasimu ya katiba.

Kama ipo, bila kujali mengine yaliyomo, naipigia kura ya ndio katiba.

Itifaki imezingatiwa.

Ntarudi kwa majumuisho.
 
Duh....vigezo na masharti kuzingatiwa....hahaaaaaa

Usithubutu tu kukutwa na bwana Pepsi au Bibi Umeme
 
:horn:​MKUU KANISALAKO LIKOWAPI??NIMEPENDA HUDUMAYAKO,,KINGINE ULIJARIBU KUMKIMBIA PDIDY MWISHO UKAMKARINIA
 
mkuu kaizer kumeza hii inaitaji diclofenac bado nawaza chakuchangia nafikira mamadidy akiona hii si naumiq vibaya
mmh ntarudi namimi
 
Kaizer hii shule ngoja kwanza niko nursery nikishafika primary inaweza kufaa kwa matumizi ila kwa sasa huku hawafundishi hii kitu aise
 
Last edited by a moderator:
:horn:​MKUU KANISALAKO LIKOWAPI??NIMEPENDA HUDUMAYAKO,,KINGINE ULIJARIBU KUMKIMBIA PDIDY MWISHO UKAMKARINIA

Mlima wa Moto ndiko lilipo hahahahah
 
Kaizer hii shule ngoja kwanza niko nursery nikishafika primary inaweza kufaa kwa matumizi ila kwa sasa huku hawafundishi hii kitu aise
Mr Rocky unataka kuwa kama mbuni mkuu? manake huwa anaficha kichwa mchangani kisha anadhani amejificha kiwiliwili chote
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…