Kwenu mnaolalamika kuwa wasichana wanapenda pesa

Kwakulijua hilo ndiyo maana nasisi tunatafuta wasichana wenye ajira zao hapa mujini ili kubalance mizani Wengine wanaenda mbali wanaona bora kulelewa ili kukwepa kuelemewa na uzito wa majukumu
Huo ni ukosefu wa akili kijana wa kiume unatakiwa upambane uwe na uwezo wa kuwalea wategemezi wako na sio wewe ndo uwe tegemezi kwa mwanamke
 
Kuna tofauti kati ya udangaji na kuolewa. Wale wanaodanga wajihudumie wenyewe ila wale walioolewa wahudumiwe na waume zao.
Shida inakuja pale mdangaji anapoolewa
Kabla hawajaolewa wanaomba sana mizinga ni mingi unapigwa mizinga mpaka unanyooka
 
Mmmh wala..... wakwako tuu
Asie na ajira atakupiga kizinga cha 10k - 50k. Mwenye ajira sasa, utasikia mara naomba laki 6 nilichukua salary advance ofisini, mara niazime 300k nijazie kodi, mara iphone imepasuka naomba 200k nikaeke kioo, mara tunaenda "tua" naomba niongezee 500k
 
Ulichukua salary advance, na mimi nilichukua
Kodi na mimi nalipa, "tua" na mimi naenda za ofisini kwetu
Hizi gharama zangu atanilipia nani kama mimi nakulipia wewe? Niliwai kumjibu hivi girl mmoja mpaka leo hajawai kunipiga kizinga
 
Aksnt kwa kwakutupa rejea ,
Tutazngatia

Tatzo sasa wanatak ela na usaw ndio shid

Zaman atakuchagua mwenye ela ila wataish kwakuyajenga maish kwa malengo Yao hawa wa sasa wanamatumiz makubwa yao binafs
 
πŸ˜„
 
Aksnt kwa kwakutupa rejea ,
Tutazngatia

Tatzo sasa wanatak ela na usaw ndio shid

Zaman atakuchagua mwenye ela ila wataish kwakuyajenga maish kwa malengo Yao hawa wa sasa wanamatumiz makubwa yao binafs
Hapo kwenye usawa wa 50/50 ndo sipatani napo na ndo wanapoharibu mwanaume kiasilia ni 80% na zaidi alafu mwanamke ni 20% and below
 
mkuu mbona hilo linajulikana kwa wanaume
ukiona mtu analalmika ujue huyo si mwanaume
 
Huyu fala ndie alietusababishia matatizo
 
Attachments

  • Screenshot_20240716_003030_Facebook.jpg
    212.3 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…