Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hajui na kwa utamu wa jukwaa sitaki ajue !
Kwenu nyie wana JF hususan mlioko kwenye mahusiano ya urafiki wa kimapenzi na ndoa na ambao ni wadau wakubwa wa MMU, je mwenzako anajua kama uko hapa? Anajua jina utumialo? Na wewe je unajua kama yeye yupo na jina alitumialo? Je kama ana vivuli vingi (multiple user IDs) unavijua vyote?
none of the above
Je yeye yupo? Na kama hayupo una uhakika gani kama hayupo?
Acha hio kitu mpwa, maana kuna ndoa na relationships kibao zaweza kuvunjika kutokana na confession ninazozishuhudia humu jamvini zihusuzo yale mambo yetu yalee... mfano ni mm mwenyewe nilipost issue ya mke wa mtu kunitaka, yes sikukubaliana nae but angejua ishu ya namna hio just kujua tu, unadhani amani ingekuwepo home? mi nadhani tubaki na ID zetu privately hadi hapo itakapotokea siku mkajikuta mnachangia ze same mada ya majambozi...
Je wewe ukija kugundua kuwa naye yumo na ana flirt na mtu au watu hadi kuitana "mpenzi", "laaziz", "darling", etc. utalichukuliaje hilo?
mhh akijua patachimbika....thou swaga na uandsh wangu anaujua so i kp on kukataa isnt me....haha hah kaz kwl kweeeeli!!!
Ntamsifia saaana, kumbe najua kutunza hadi akina Ambrose wananipongeza kwa kumuita my swthrt lotion n.k, au wewe ungefanyeje sasa? upigane? aah haina maana bana muache apate ujuzi kwingine!!
ahh ni poa tu mbona ..haina nomaUmeona eeh? Ni kasheshe si mchezo. Je wewe ukijua yeye yupo humu na ni mdau mkubwa sana wa MMU utafanyejea?
Hiyo laissez-faire attitude ni rahisi sana kusema lakini ikitokea mwenzaka akawa anaandikiana PM na mtu mwingine, wanaenda chatroom, n.k. sidhani kama utakuwa na amani. Ni mtazamo tu.
kuitana mpz tu ni kosa ?Je wewe ukija kugundua kuwa naye yumo na ana flirt na mtu au watu hadi kuitana "mpenzi", "laaziz", "darling", etc. utalichukuliaje hilo?
Kevin hebu angalia hii, if u're married jaribu kukumbuka umri wa mkeo na baadhi ya majina ambayo amekua akipenda sana kujiita au kuitwa wawezakuta, ROSE1980 ndo shemeji yetu una chati nae hapa bila kujua, labda bado uko kwa ofisi na yy yuko kwa home....kaaazi kweli kweli