Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
Habarini!
Niwaambie tu ukweli, nyie wadada wenye pesa zenu mnaotafuta mabaunsa wa kutembea nao nyuma a.k.a (bodyguard) hasa ma celebrity wengi hapa bongo. Ni kwanini mnatafuta wa kiume badala ya wa kike mwenzio?
Ushawahi jiuliza swali hata moja, kama ikatokea upo mbele ya kadamnasi alafu nguo yako nyuma imechafuka (bleeding) huyo bodyguard ataanzaje kumwambia bosi umejichafua nyuma?
Mbaya zaidi mabodyguard wenyewe wakiwaga kwenye matukio macho yanakuaga juu juu yanasubili udondoke wakudake basi.