Wanakazi zao za ziada ni kama wanavyo fuga vimbwa ( manunu )
Paula.Kwa Bongo mabinti gani wana mabodi gadi?
Lina Sanga na Ile trraakkkk ni hatariPaula.
Na ni lazima uwe from BeijingWale Sio Mabody Guard Ni Watunisha Vifua, Huwezi Kukuta Body Guard ana Limwili Lukuuubwa Kama Wale Wa Harmonize au Nasib Abdul.
Sifa za Mtu anaitwa Body Guards Ni:
High Concetration Level
Lazima uwe Intelligent
Pia uwe Versatile
Maximum Endurance Level inahitajika
Uwe Educated Enough.
Uwe Physically Fit
Na pia uwe Loyalist etc.
Kwani wakiwa blidi huwa wanachafuka nyuma?Habarini!
Niwaambie tu ukweli, nyie wadada wenye pesa zenu mnaotafuta mabaunsa wa kutembea nao nyuma a.k.a (bodyguard) hasa ma celebrity wengi hapa bongo.
Ni kwanini mnatafuta wa kiume badala ya wa kike mwenzio?
Ushawahi jiuliza swali hata moja, kama ikatokea upo mbele ya kadamnasi alafu nguo yako nyuma imechafuka (bleeding) huyo bodyguard ataanzaje kumwambia bosi umejichafua nyuma? Mbaya zaidi mabodyguard wenyewe wakiwaga kwenye matukio macho yanakuaga juu juu yanasubili udondoke wakudake basi.
Hivi Bongo kuna celebrities kweli?Habarini!

Hivi manunu alipatikana.!?Wanakazi zao za ziada ni kama wanavyo fuga vimbwa ( manunu )
Ndio alikapataHivi manunu alipatikana.!?