Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Kwenu wadogo zangu ambao bado mpo 20's kumbukeni ya kwamba huyo demu ulienae ana uwezekano mkubwa sana wa kutoboa kimaisha hata leo hii tofauti na wewe.
Usidanganyike kwamba yupo na wewe kwa sababu anakupenda ukweli ni kwamba yupo na wewe kwa sababu hajapata mwanaume wa fantansies zake.
Nataka kusema nini, katika huo umri wenu wadogo zangu ni wakati muafaka wa kutengeneza njia za maisha yenu, pambania ndoto zako, tafuta kusudi lako la maisha, everyday make sure you do something to get you closer to your dreams or purpose.
Don't waste your time or resources because of women, you owe women nothing, you don't have responsibility to give her life style or luxuries which her father failed to give her. She have father, mother, sisters, brothers, ancles let them do their job.
Najua unapitia kipindi cha kukataliwa lakini hiyo isikupe shida tambua ya kwamba thamani ya mwanaume inaanzia chini na thamani ya mwanamke inaanzia juu. Utakapofika 30's hawa hawa wanawake wanakusumbua thamani zao zitakuwa chini na thamani yako itakuwa juu.
Tambua ya kwamba hao wanawake unaoona sio wa level yako walichokuzidi ni kwamba wao wamewekeza kwenye miili yao yaani nguo, vipodozi n.k ukiondoa hivyo karibu wote hawana kitu, hawana chochote kwenye akaunti za benki, hawana investment yoyote and most of them are empty-head.
Don't lose focus, strive for your dreams, trust the process.
Leo nina mzuka wa kumwaga nondo halafu kiswahili hakipandi kabisa. Sijui ni hizi serengeti lager nilizonazo kichwani au nini.