hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Kwenu Waislamu
Ingekuwa ni msikiti hapo, dunia ingekuwa imetokwa jasho kwa kelele za Waislamu mitandaoni.
Huo wala sio mujiza kwangu, jengo halijashika moto sababu ya uimara wake na pia limejengwa na saruji. Miji mingi Marekani imejengwa kwa mbao, hivyo ni rahisi kushika moto.
Waislamu wanaopiga kelele mitandaoni kwamba Allah ameiadhibu Marekani sababu ya Gaza, ni wazushi. Wamesahau kuwa juzi Dubai, ilipitia mafuruko makuu ama Uturuki nayo ilipitia janga kuu la tetemeko la ardhi lililoua watu takribana 50 elfu. Na Maka yenyewe ilipigwa na mvua ya mawe na nzige. Je Allah ndio aliupiga msikiti wake? Msiwe wepesi kusahau.
Post zingine zinakuja juu yenu