Kwenu Wajuvi na wapekuzi wa Historia. Naomba majibu ya maswali haya

Hizi ndio fikra na maswali ya kijinga, na ndio maana kila siku munaibiwa na hamkomi Kwa sababu ya fikra zenu za hovyo, "Quran ni kitabu Kisichokua na shaka ndani yake"
 
Hio ndio shida yenu hujui lolote, nyie mmeshazoea ku ektiwa na kupigwa live
 
Una akili??
Kama unaona kuna ukweli zaidi ya huo, ulete hapa jukwaani tujadili, kama huna funga bakuli.

"PUT UP OR SHUP UP"
Kati ya mimi na nyie mnao punwa huko nani hana akili?, ficha aibu yako kama kuibiwa mshaibiwa sana na Mtaendelea kuibiwa milele , alafu dunia nzima imeshuhudia, Eti wewe ndio una hoja yaku toa hapa
 
Kati ya mimi na nyie mnao punwa huko nani hana akili?, ficha aibu yako kama kuibiwa mshaibiwa sana na Mtaendelea kuibiwa milele , alafu dunia nzima imeshuhudia, Eti wewe ndio una hoja yaku toa hapa
Kwa jinsi tuu unavo-type, Huna Elimu ya kubishana na mimi.

Goodbye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…