abagabo
Senior Member
- Jun 4, 2014
- 155
- 168
Mtu akituhumiwa kwa jinai inayohusu nyaraka, na ktk mahojiano na mchunguzi akasema hizo nyaraka alipewa na watu Fulani na akawataja kwa majina je ni sahihi kwa mchunguzi kutowakamata hao watu na kuwahoji na badala yake kug'ang'ania kumpeleka huyu peke yake?, na je akifikishwa huko kortini akazidi kusema kuwa wahusika mbona hawakamatwa, hakimu anaweza kuisikiliza hoja hiyo? Wahusika wapo na ni watumishi wa serikali.