Scenario yako mbona haijakamilika mkuu?, kama ni kwenye maisha halisia embu rudi nyuma kidogo kwenye hii stori yako.
Ila haraka haraka, mpelelzi anaweza potezea kuwahoji (japo si kawaida sana) kama ataona/kuhusi unababaisha. (Only in Tz)
Ila kama kwenye maelezo yako polisi ile umefikishwa/fika uliandika haya unayosema ya kuzitoa/kupewa hizo nyaraka na mtu wa tatu, lazma ataunganishwa mkuu ila hiyo haikufanyi kutoshtakiwa kumbuka kushitakiwa haimaanishi una kosa kweli.
USHAURI: kama una uwezo japo kiasi, tafuta wakili mkuu. Pia pole/fikisha pole zangu kwa mhusika.