This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Hili I Ni bandiko kwa ajili ya kukusanya maoni , mawazo, mitazamo, ukosoaji, pongezi kutoka kwa wanasimba na wadau wa futiboli kwa ujumla.
Bao tano [emoji2936][emoji2772] sio mchezo mtachapana sana bakaora mwaka huuNiakuelewa ukijibu haya maswali 3
1. Kwa kuanzisha hili bandiko unamwakilisha kiongozi gani wa Simba ?
2. Una uhakika gani kuwa kila atakayeshiriki hapa ni mwanasimba?
3. Una kadi namba ngapi ya Simba?
Nimekuuliza kwa sababu....
Nakuona wazi wewe ni mtu wa majungu tu na kilaza maana hujui kuwa sio member wa JF sio wote ni mwanasimba.
Nasubiri majibu.
Huyo huyo Mjinga tajwa hapa ndiyo Furaha Kuu ya Kibaiolojia ya Mama yako Mzazi.Washabiki waanze kuchujwa huwezi ukawa na shabiki mjinga Kama GENTAMYCINE afu timu ikawa sawa..
Na sisi wanasimba upande wa Kigwangwala tupo pembeni kwanza tunasubiri kauli ya Mwamedi.Ngoja sisi wanasimba wa upande wa Mzee Kilomoni, tukae pembeni kwanza ili tushuhudie mtifuano mkali kati ya vijana wa Rage dhidi ya wale vijana wa Mangungu.
Tuanzie hapa.Washabiki waanze kuchujwa huwezi ukawa na shabiki mjinga Kama GENTAMYCINE afu timu ikawa sawa..
Ha ha haNa sisi wanasimba upande wa Kigwangwala tupo pembeni kwanza tunasubiri kauli ya Mwamedi.
Huyo kigwangala ndo hakuna kitu kabisa.Yeye ugomvi wake ni Mo uku yeye akiwa kajificha kwenye porojo wakati mpira unataka pesa.Na sisi wanasimba upande wa Kigwangwala tupo pembeni kwanza tunasubiri kauli ya Mwamedi.
Huishi kumtaja Rage fanya basi umzalie watotoNgoja sisi wanasimba wa upande wa Mzee Kilomoni, tukae pembeni kwanza ili tushuhudie mtifuano mkali kati ya vijana wa Rage dhidi ya wale vijana wa Mangungu.