Kwenu wanataaluma wote: Sekondari mpaka vyuoni

Kwenu wanataaluma wote: Sekondari mpaka vyuoni

Joined
Dec 23, 2013
Posts
10
Reaction score
0
KWENU WASOMI WENZANGU SEKONDARI MPAKA VYUONI, SHIME WAKATI UMEFIKA ; TUMEPEWA SILAHA ILI TUITUMIE KULETA MABADILIKO ,NALETA KWENU MAONI YANGU NAOMBA KILA MMOJA WETU AYAPITIE KWA KINA NA KUYAHIFADHI KWA AJILI YA REFERENCE BAADAE, PIA NAOMBA MAONI HAYA TUYAENEZE BAINA YETU KAMA MOTO WA KIANGAZI ILI YAMFIKIE KILA MSOMI RAIA WA TANZANIA ANAESOMA SEKONDARI HADI VYUONI PAMOJA NA WALIMU WOTE WA NGAZI HIZO BILA KUWASAHAU WASOMI WALIO KATIKA MFUMO WA AJIRA TAYARI,
ASANTE KWA KILA ATAKAETUMIA MUDA WAKE WA THAMANI KUYASOMA KWA UMAKINI MAONI HAYO,
WENU KATIKA UKOMBOZI WA KITAALUMA,
Prof. Anonymous.
 
Nimeshaichukua hiyo document, nimeanza tu kusoma kurasa mbili za mwanzoni, and i feel that its necessary that everyone considers himself or herself the part of the change we want! Nimehamasika sana. Naomba hiyo doc iwe na copyright. I'll be glad if you let me know some other publications you have made.
 
ndugu yangu wazo lako ni zuri kuhusu copyright, lakini tujaribu kuona namna gani ambavyo wote kwa pamoja tutaunganishwa tena baada ya hawa mafisadi wa vyama kutulisha propaganda za uongo kwa muda mrefu; sasa hivi mtu akitoa jambo hata kama ni la kujenga wengi huanza kulipokea kwanza kwa kuliangalia kwa miwani ya kiitikadi ya vyama ama wanaleta mtazamo wa sifa - kwamba huyu anatafuta umaarufu , huenda anataka kuwa rais huyu au ananyemelea ubunge baadae n.k
tumefikia mahali ambapo mawazo yetu kwa kweli ni dhaifu kwa minajili hiyo, hivyo nikaona ni bora hili nililete kwenu mimi mwenyewe nikibaki ANONYMOUS ili wale waliofungwa na itikadi nao wawe huru kuona kilichomo humo; hili lisiwe tena langu bali liwe letu maana nchi hii ni kubwa na democracy maana yake ni wote sio mmoja au baadhi hivyo ndugu yangu kwa hilo naomba unielewe.
 
Back
Top Bottom