Kwenu wanaume ...Hii imekaaje ?

ni sawa kabisa kwenye ndoa kuna kipindi cha mpito siku zote si mteremko
Thanks ABEDNEGO ..
Lakini je huyu mwanamme kuna uwezekano wa kubadilika kama tayari mama mkwe kishatia sumu ndoa yake?

Upo sana tu; tena hatua zichukuliwe kuanzia sasa; kama ndoa ni ya Kikristo wachungaji ama mapdri wahusishwe na wazazi wote waitwe na wakanywe!

Mzazi anabaki kuwa mshauri pale anapoombwa tu; na huyu jamaa kama alimwomba mzazi bila kumshirikisha mwenzie aeleze wazi mbele ya watu kuwa ndoa hiyo imemshinda (Huwezi kushirikisha mambo yenu watu wengine kabla ya kumshirikisha mkeo) naye alioa akitaka mtu wa kumzalia na si mwenzi wa MAISHA; mie nishapata msukosuko kidogo kutoka kwa watu wangu wa karibu kuwa kwanini hamuongezi mtoto mwingine? Eti tuliyenaye ameshatimiza miaka 5 sasa ni vyema tuwe na mwingine; Jamani kuna watu hawana aibu; yaani Mtu mzima kabisa anaweza kukuambia upuuzi usiotegemea! 😑

Huyu mwanaume ana mapungufu na ninapatwa na wasiwasi hata huko kwenye kutafuta maisha hawezi kufika mbali akiwa na misimamo ya namna hii! Ndio maana anakataa hata kwenda kupima nahisi ni mtu asiyejiamini kabisa!πŸ˜•
 
Nguli inahitaji hekima ya ajabu kutoka kwa mama mkwe na mtoto pia
na ukiwa na mama wa staili usitegemee kupata msaada kiushauri ..
 
huyo mama kama vp si aje amzalie yeye hao watoto, jamaa nae inaonyesha hampendi huyo mwanamke na hapo unaweza kuta mwenye matatizo c mwanamke bali ni mwanaume, akiachika siku mbili tatu anamkuta anamimba, hebu niambie hiyo aibu yake
 
ndoa zina mambo jamani, mie zimenichosha, yaani tangu jana nikifikiria ndoa hizi naweweseka.....
 
Nimegundua ndo maana siku hizi mtu bila kufunga ndoa lazima avimbishe kwanza atest je huyu mtu ni productive?
 
ndoa zina mambo jamani, mie zimenichosha, yaani tangu jana nikifikiria ndoa hizi naweweseka.....

Unanishaurije mm ambae sijaoa? Je niendelee kumega na kuacha?
 
Nimegundua ndo maana siku hizi mtu bila kufunga ndoa lazima avimbishe kwanza atest je huyu mtu ni productive?
ee bwana ee hebu tutete kidogo kwa mesenja!...URGENTLY!
 

Well said,

Lakini ndio maana ndoa za siku hizi unakuta bibi harusi ana mimba ya miezi nane hata kusimama muda mrefu hawezi....Kwa sababu ya mambo kama haya ya mama wakwe!
 
Yani wanaume hawaishi visingizio,mara hazai,mara kicheche,mara si bikira!while bora hata wanawake unaweza kukuta bikira,but men!mechi kibao kuanzia ma haus gals,mpaka majirani
well said,

lakini ndio maana ndoa za siku hizi unakuta bibi harusi ana mimba ya miezi nane hata kusimama muda mrefu hawezi....kwa sababu ya mambo kama haya ya mama wakwe!
 
Kwa tathimini yangu mama alitakiwa amuulize mtoto wake kama na yeye amewahi kupima kama yuko fertile. Kwa wengi wetu lawama zinatupwa kwa mwanamke zaidi na kusahau hata wanaune wanapatwa na matatizo ya uzazi.

Kwanza nime-imagine kuwa huyu ni dada yangu; ndo anaambiwa huo upuuzi! Imenichoma sana!

Wana jamvi haya ni matokeo ya mfumo dume uliotufunika binadamu hasa sie wa jamii ya kiafrika; ona hapo mama anakimbilia kumtusi Binti wa watu mahali ambapo ungetegemea amtetee mwanamke mwenzie!

Kina mama kwanini hampendani ninyi kwa ninyi?
 
Well said,

Lakini ndio maana ndoa za siku hizi unakuta bibi harusi ana mimba ya miezi nane hata kusimama muda mrefu hawezi....Kwa sababu ya mambo kama haya ya mama wakwe!

teteteehehe Masaki kwa hiyo hapo huwa ni test kama mpira utatinga nyavuni au lah?
 
ndoa zina mambo jamani, mie zimenichosha, yaani tangu jana nikifikiria ndoa hizi naweweseka.....


Hapana hii ndo raha ya ndoa ; Challenges zipo na ukimwamini Muuumba wako utayavuka yote haya! Na baadaye ukiwa kivulini utacheka kwa furaha huku ukishangaa ulivukaje?πŸ˜€πŸ˜€
 
Jamaa kaniudhi sana, basi angeishi na huyo mama mzazi wake, udhaifu namna hiyo ni mbaya sana, kwa nini amnyanyase binti wa watu namna hiyo, huyo mama na yeye inaelekea umaskini umemtawala, inawezekana anamtegemea sana huyo mtoto wake wa kiume ndo maana anajidai anauchungu namna hiyo. halafu huyo mama anauhakika gani kwamba mwanaye anatema CHECHE? anamtuhumu binti wa watu tu, pengine mwanaye ndo mwenye matatizo. awaachie wenyewe waamue maisha yao na si kuanza kuwapangia lini wapate mtoto. Kuna jamaa yangu amekaa 5yrs baada ya ndoa ndo akapata mtoto, mkewe alisema siwezi kuzaa mpaka tununue gari(Hii sijui nayo imekaaje) wakanunua akasema siwezi kuzaa mpaka tujenge kwetu, lkn jamaa hakusubiri wajenge akaweka kitu, lkn 5 yrs ilikuwa imeshapita na sasa mtoto wao ana miaka minne, kwa nini hawa wazazi wanakuwa namna hii?, au ndo maana siku hizi ndoa na mimba vinaenda sambaba? ndoa nyingi utakuta bibie keshachoka au ndo ina miezi mitatu. kweli huyo ni mwanaume JINA tuu
 
Nimegundua ndo maana siku hizi mtu bila kufunga ndoa lazima avimbishe kwanza atest je huyu mtu ni productive?

Kuonja kabla hatari
Na hakuna tahadhari!

Ni kutojiamini na pia kutokuwa na maamuzi yako mwenyewe, kwanini ulazimike kuwaridhisha walimwengu?; hivi ni wewe unayeumba hao watoto ama unapewa na mwenyezi Mungu!?

Unaweza ku-adopt na ukawa mzazi mwema wa kuigwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…