Kwenu wanaume ...Hii imekaaje ?



FL1,

Wengine ni suruali tuu...kuruhusu ndoa kuingilkiwa kiasi hiki...hamna mme hapo.
 
FL1,

Wengine ni suruali tuu...kuruhusu ndoa kuingilkiwa kiasi hiki...hamna mme hapo.

Huyu Binti anavyodai anampenda sana mme wake na amemkalisha chini jana wameongea kajaribu kumuomba na yeye akapime .ila jamaa kang'ang'ania mwanamke ndio mgumba ?
swali la dharau binti anaulizwa na mmewe hivi wewe kabla sijakuoa umewahi hata kushika mimba mbona sioni dalili ??naona hapo kama si pa kukaa vile !!
 
Hapa bi mkubwa kachemsha!! Kwa kawaida wenye maneno huwa ni mawifi angalau inaleta maana, sasa mama mzima badala ya kumsaidia mkwewe kama ana matatizo yeye anaishia kutoa maneno makali kwenye loud speaker ya simu, mashaka matupu kwa busara ya huyo mama mkwe.

Haya ni mambo ya kitaalamu sio lazima tatizo liwe kwa mwanamke unless walikwenda kupima na kuthibitisha kwamba tatizo lipo kwa mwanamke, kina mama wengine hasara tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…