Kwenu wanaume

Wapi kuna kesi za watoto wasio na baba???? Au hao watoto mama wa dsm wanazaa bikiramaria????
 
Sasa ile foleni kwa Makonda mbona ilikua kubwa kama ni kweli wanaume wa dar hawana hizo "nguvu za kiume"!nawaza tuu lakini
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwamba wanatoa nnya kubwa ama?
 
Mi nimekua nawaona wa mikoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…