Kwenu wasoma comments

TRANSPONDER

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
400
Reaction score
993
Habari wakuu , najitambulisha kama mwenyekiti wa wasoma comments wote, naomba mtambue kuwa mTanzania mwenzenu niliyokuwa na tabia ya kujisomea vitabu nimejikuta nikipata elimu kubwa sana huku JF, hususani jukwaa hili linanipa elimu juu ya kusocialize na watu.

LENGO LA UZI HUU NI KUFIKISHA KILE TULICHOJIFUNZA KUTOKA NYUZI MBALI MBALI ZA JUKWAA HILI MOJA KWA MOJA KWA WASOMA COMMENTS KWA LENGO LA KUJIFUNZA.

HIVYO NAOMBA MKITOKA KUPITIA THREADS MBALI MBALI KABLA HUJATOKA HUMU PITIA HAPA KUMWAGA KILE ULICHOVUNA HUKO ... HATA KAMA NI JUKWAA LINGINE TUAMBIE NA SISI TUKIMBILIE .

NI MIMI MWENYEKITI WA WASOMA COMMENTS WOTE .

NAWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JAMANI KONA NYINGINE NIMEJIFUNZA KUWA , HATA KWENYE FAMILIA TUSIAMINIANE SANA .... MAANA MIMI KWENYE FAMILI TUMEKUWA KWA AMANI ZOTE ILA KUNA JAMAA KATOA STORY YA MAMA YAKE ... DAAAH... NIMEJIFUNZA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…