Kwenu wataalam wa lugha

Huo msemo utumiwa sana na watoto wa kike kama nilivyo ahinisha hapo juu, kama wewe ukuwahi kusikia basi ni bahati mbaya, ipo siku unaweza bahatika kusikia.
 
Unasikia sehemu gani au mazingira gani?
 
Dar ES Salaam!
Je inawezekana ni aina ya "sheng" wanavyosema Kenya yaani lugha ya mtaani? Ni kawaida kwa lugha nyingi ya kwamba katika miji mikubwa aina mpya ya usemi inaanza.
 
Inawezekana ila nilisikia zamani ikitumika hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…