S StudentTeacher JF-Expert Member Joined Jan 30, 2019 Posts 4,153 Reaction score 4,301 Oct 15, 2021 #1 Naomba kuuliza je,ni faida zipi anazonufaika nazo wakili endapo akiwa anashinda kesi anazowakilisha ukiacha malipo anayolipwa na wateja wake?
Naomba kuuliza je,ni faida zipi anazonufaika nazo wakili endapo akiwa anashinda kesi anazowakilisha ukiacha malipo anayolipwa na wateja wake?
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Oct 15, 2021 #2 Kutengeneza uaminifu, koneksheni na kupata wateja wengi. Kifuatacho ITV ni.......