Robert greene Member Joined Nov 11, 2018 Posts 39 Reaction score 26 Jan 14, 2019 #1 Kwanini kuku hukimbia kabla ya kupandana? Hii ina maana gani kitaalamu?
pleo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 3,444 Reaction score 2,737 Jan 14, 2019 #2 Haina maana, ila kukung`uta mabawa kwa tetea baada ya kupandwa kunasaidia kusafirisha mbegu.