Kwenu Wataalamu wa wanyama pori - Maliasili.

Kwenu Wataalamu wa wanyama pori - Maliasili.

MchunguZI

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2008
Posts
4,011
Reaction score
2,185
Naomba kupata elimu kutoka kwenu juu ya sheria ya kufuga wanyama pori. Napata shida kufahamu ni wanyama wa aina gani ambao wanahitaji kibali maalumu ili niwafuge. Watu wanafuga Kanga, samaki, n.k. Lakini hivi karibuni niliambiwa siwezi kufuga Kwale (quail) kwa sababu ni wanyama pori!

Hapa mjini Dar nimeshuhudia watu wakifuga nyani kwa maonyesho, tena ktk hotel kubwa sana kule ufukweni!

Sheria ikoje?
 
Back
Top Bottom