Kwenu watu wazima mliovuka miaka 30, kuna ukweli kwamba inachukua miongo mitatu (miaka 30) akili kupevuka ?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
NB: nazungumzia akili ya maisha na sio pesa, elimu ya darasani, cheo, kuoa, n.k. hivi vitu hata kijana mwenye 18 anaweza kuwa navyo lakini AKILI bado haijakamilika kupevuka.

Nimefatilia research mbali mbali nimeona wanasayansi wanao deal na mambo ya saikolojia wamekadiria kwamba wengi akili zao hupevuka baada ya kuishi hapa duniani miaka 30.

Je wewe kama mtu mzima ulievuka 30, unaona pana ukweli ?
 
NB: Kwa wastani wa wengi, Sio wote.

Nimefatilia research mbali mbali nimeona wanasayansi wanao deal na mambo ya saikolojia wamekadiria kwamba wengi akili zao hupevuka baada ya kuishi hapa duniani miaka 30.

Je wewe kama mtu mzima ulievuka 30, unaona pana ukweli ?
Kweli kiongozi now days nawanzq maisha sana,sina time na wadada kama nilipo kuwa 23
 
Hapana akili unaikomaza mwenyewe tu..nina rafiki yangu 25 ni shahidi wa yehova na sasa anasimamia kutaniko fulani anatoa hotuba mbele ya wazee na watu wazima na yuko serious na maisha ameoa juzi pamoja na kwamba ana mshahara mdogo ila ana maendeleo mazuri ya kimwili ameridhika na uchumi alionao kiufupi ni Mungu ndie anayemuongoza yeye we vile na kamtegemeza kiasi kwamba dogo kupitia biblia kawa na uwezo mkubwa kiutambuzi..hachepuki halewi kupita kiasi wala kutumia vilevi vyovyote..anavaa kwa kiasi nawaza je akifika miaka hio 30 atakuaje
 
Ni kweli kabisaa.miaka 30s watu wengi..wanakua kiakili coz Kama vijana wengi hapo katkat wanakua wameoa n wanawaza family..pia miaka hyo ndo at least ya kijana kujipanga kujengaa or kujengaa nyumbaa.n vitega uchumi..ukiona unakaribia 40s hujaoaa huna hata kakibandaa hyo..n ishuu@ndo Mana 30s vijana akili huwaga inatulia snaa
 
nilipokua mdogo nahisi nilikua na akili kinoma noma sahivi nimekua tahira...
 
Yeah kuna ukweli, miaka hii mtu akiwa na mwanamke mzuri, yupo fiti kitandani na mambo mengine ya mapenzi anaweza kujiona mfalme kashafanikiwa. 😂😂
Ukiwa na miaka 20s unafikiria tu mbususa,30s unatengeneza familia40s unaenjoy maisha maana umetafuta umepata unakula sasa,watoto wamekuwa wakubwa hakuna stress tena
 
Ni kweli, nimefanya huo utafiti kwenye rika langu la 20's, kwa sasa nina miaka 27 na nina marafiki wengi age 25 hadi 28... Wapo wenye kazi zao huko maofisini, wanavaa vizuri, wana magari na wanaonekana wana heshima lakini kiukweli ni wanazichakata sana mbususu na uchumi wao huwabeba zaidi kuwa na supply ya uhakika. Tukija kwa wenye hali za kawaida na za chini bado wanaziwaza sana mbususu sema hawa kwavile uchumi ni changamoto wapo wanachama wa chaputa na wengine wa kununua hawa wa af tatu kwa kimoja kwa wahaya.
 
Ukiwa na miaka 20s unafikiria tu mbususa,30s unatengeneza familia40s unaenjoy maisha maana umetafuta umepata unakula sasa,watoto wamekuwa wakubwa hakuna stress tena

Easier said than done, kwa Tz hii ni asilimia ngapi ya walioko 40+ wanaenjoy maisha maana wameshatafuta, wanakula na watoto wamekuwa wakubwa?

Kifupi kwa lifestyle ya Tz, 40 bado wengi wanajitafuta sana tu, watoto wapo primary, na hata hawajawekeza kiqsi cha kuwa kwenyw comfort zone!
 
Kweli kiongozi,ila ukijipanga vyema mpaka 44 hivi utaenjoy life,ila kwa tz 40 badonupo nyumba zakupanga tena chumba cha kiza
 
NB: nazungumzia akili ya maisha na sio pesa, elimu ya darasani, cheo, kuoa, n.k. hivi vitu hata kijana mwenye 18 anaweza kuwa navyo lakini AKILI bado haijakamilika kupevuka.

Nimefatilia research mbali mbali nimeona wanasayansi wanao deal na mambo ya saikolojia wamekadiria kwamba wengi akili zao hupevuka baada ya kuishi hapa duniani miaka 30.

Je wewe kama mtu mzima ulievuka 30, unaona pana ukweli ?
Mimi simwamini mtu yeyote aliye chini ya miaka 45 kuhusu upevukaji na busara. Kukua kimwili ni tofauti sana kukua kiakili na kihekima/busara.
 
Back
Top Bottom