Kweli kiongozi now days nawanzq maisha sana,sina time na wadada kama nilipo kuwa 23NB: Kwa wastani wa wengi, Sio wote.
Nimefatilia research mbali mbali nimeona wanasayansi wanao deal na mambo ya saikolojia wamekadiria kwamba wengi akili zao hupevuka baada ya kuishi hapa duniani miaka 30.
Je wewe kama mtu mzima ulievuka 30, unaona pana ukweli ?
Simba mzee kakwepa mishale mingiAkili inapevuka ukikutana na changamoto kibao. Angalia watoto wa kishua na uswazi afu angalia 30yrs ya kishua na kiswazi haoa kunakua na level tofauti ya maturity
Mkuu usiwaze sanaMimi tangu nifike 30 ndo nahs nmedata kbsaaa...
Sasa hv akili inauma kwa mawazo
Yeah kuna ukweli, rika hili kijana akilala na mwanamke mzuri, anachelewa kufika kileleni, ana inchi 6+ za mpini na mambo mengine ya mapenzi anaweza kujiona kashamaliza maisha. ππKweli kiongozi now days nawanzq maisha sana,sina time na wadada kama nilipo kuwa 23
Ukiwa na miaka 20s unafikiria tu mbususa,30s unatengeneza familia40s unaenjoy maisha maana umetafuta umepata unakula sasa,watoto wamekuwa wakubwa hakuna stress tenaYeah kuna ukweli, miaka hii mtu akiwa na mwanamke mzuri, yupo fiti kitandani na mambo mengine ya mapenzi anaweza kujiona mfalme kashafanikiwa. ππ
Ni kweli, nimefanya huo utafiti kwenye rika langu la 20's, kwa sasa nina miaka 27 na nina marafiki wengi age 25 hadi 28... Wapo wenye kazi zao huko maofisini, wanavaa vizuri, wana magari na wanaonekana wana heshima lakini kiukweli ni wanazichakata sana mbususu na uchumi wao huwabeba zaidi kuwa na supply ya uhakika. Tukija kwa wenye hali za kawaida na za chini bado wanaziwaza sana mbususu sema hawa kwavile uchumi ni changamoto wapo wanachama wa chaputa na wengine wa kununua hawa wa af tatu kwa kimoja kwa wahaya.Ukiwa na miaka 20s unafikiria tu mbususa,30s unatengeneza familia40s unaenjoy maisha maana umetafuta umepata unakula sasa,watoto wamekuwa wakubwa hakuna stress tena
Ukiwa na miaka 20s unafikiria tu mbususa,30s unatengeneza familia40s unaenjoy maisha maana umetafuta umepata unakula sasa,watoto wamekuwa wakubwa hakuna stress tena
Kweli kiongozi,ila ukijipanga vyema mpaka 44 hivi utaenjoy life,ila kwa tz 40 badonupo nyumba zakupanga tena chumba cha kizaEasier said than done, kwa Tz hii ni asilimia ngapi ya walioko 40+ wanaenjoy maisha maana wameshatafuta, wanakula na watoto wamekuwa wakubwa?
Kifupi kwa lifestyle ya Tz, 40 bado wengi wanajitafuta sana tu, watoto wapo primary, na hata hawajawekeza kiqsi cha kuwa kwenyw comfort zone!
Mimi simwamini mtu yeyote aliye chini ya miaka 45 kuhusu upevukaji na busara. Kukua kimwili ni tofauti sana kukua kiakili na kihekima/busara.NB: nazungumzia akili ya maisha na sio pesa, elimu ya darasani, cheo, kuoa, n.k. hivi vitu hata kijana mwenye 18 anaweza kuwa navyo lakini AKILI bado haijakamilika kupevuka.
Nimefatilia research mbali mbali nimeona wanasayansi wanao deal na mambo ya saikolojia wamekadiria kwamba wengi akili zao hupevuka baada ya kuishi hapa duniani miaka 30.
Je wewe kama mtu mzima ulievuka 30, unaona pana ukweli ?