Kichwa cha habari kimebeba maneno ya Msemaji Ahmed Ally akiongelea usajili wa kiungo mpya mkabaji wa Simba Kante.
Sitaki kuhafifisha maneno yake maana namuheshimu Sana, lakini kwa hili Kagoma pale katikati ni mali ya Kagoma. Sijaona wa kumtikisa mvunja kuni wa Taifa.