18% ni VALUE ADDED TAX,analipa mteja. Ongeza hio 18% kwenye bei yako ya kuuza. Inabidi uuze 159300.Kuna mambo ya kubadilishwa ili swala la ulipaji kodi kwenye makato ya risiti.
Kwa nini asilimia 18 zijumuishwe kwenye mauzo na kwa nini zisijumuishwe kwenye faida niliyopata.
Mfano umeagiza mzigo thamani yake yake mpaka hupo dukani 100000/= bei ya kuuza dukani 130000/=.
Mteja kataka risit na risiti TRA kuna asilimia 18.
Mfumo wao unaangalia mauzo kwa ujumla. 130000*18/100= Makato ya kodi yao hapa 23400.
kama ingekuwa wanakata kwa faida uliyowela 30000*18/100=5400.
Hii nchi
Kuna mambo ya kubadilishwa ili swala la ulipaji kodi kwenye makato ya risiti.
Kwa nini asilimia 18 zijumuishwe kwenye mauzo na kwa nini zisijumuishwe kwenye faida niliyopata.
Mfano umeagiza mzigo thamani yake yake mpaka hupo dukani 100000/= bei ya kuuza dukani 130000/=.
Mteja kataka risit na risiti TRA kuna asilimia 18.
Mfumo wao unaangalia mauzo kwa ujumla. 130000*18/100= Makato ya kodi yao hapa 23400.
kama ingekuwa wanakata kwa faida uliyowela 30000*18/100=5400.
Hii nchi
Na hapa ndio hatua 5 kwenda kukosa wateja vinginevyo uwe unauza petrol au diesel.18% ni VALUE ADDED TAX,analipa mteja. Ongeza hio 18% kwenye bei yako ya kuuza. Inabidi uuze 159300.
Wakat unawaelwza na kuwasih watanzaania wakwepe kodi useme uko wapi tujaze mafuta Noa nyeusi tuje ulip mkuu mdomo mtupu hautoshiTRA na Revenue Authority zote za East Africa walifanya Copy & Paste. Hawakukaa na kufikiri kipi kinawafaa wananchi husika na kipi kisubiri, wao waliCopy mfumo mzima na kanuni zake.
Wanachofanya kadri siku zinaenda wanabadilisha taratibu vile wanaona havifanyi kazi ipasavyo kwenye mazingira husika.
18% ni VAT na hio analipa Mteja, wewe ni kama mkusanyaji tu kwa niaba ya gavoo.
Vile vile Elimu kwa mlipa kodi imekuwa haitolewi ikaeleweka, yaani ukielezwa na Afisa huyu, akija mwingine anakueleza kinyume chake.
Infact Tz ukifanya Biashara, HAKIKISHA unakwepa Kodi kwa namna yoyote ile, narudia tena KWEPA KODI kadri unaweza, maana ukinyooka ni unajipeleka kaburini.
Uko sahihi mkuu.18% ni VAT na hio analipa Mteja, wewe ni kama mkusanyaji tu kwa niaba ya gavoo.
Ni vema ukaanza kujielimisha kabla ya yote ili uweze kuleta mada yenye hoja mjarabu na mifano halisia.Kuna mambo ya kubadilishwa ili swala la ulipaji kodi kwenye makato ya risiti.
Kwa nini asilimia 18 zijumuishwe kwenye mauzo na kwa nini zisijumuishwe kwenye faida niliyopata.
Mfano umeagiza mzigo thamani yake yake mpaka hupo dukani 100000/= bei ya kuuza dukani 130000/=.
Mteja kataka risit na risiti TRA kuna asilimia 18.
Mfumo wao unaangalia mauzo kwa ujumla. 130000*18/100= Makato ya kodi yao hapa 23400.
kama ingekuwa wanakata kwa faida uliyowela 30000*18/100=5400.
Hii nchi
kama ufanyi biashara unaweza kuona elimu ni ya wachache.Alafu nyie wahasibu mnataka kuendeleza utapeli wenu na TRA .Ni wengi tumewashitukiaNi vema ukaanza kujielimisha kabla ya yote ili uweze kuleta mada yenye hoja mjarabu na mifano halisia.
Kwa sheria zetu 18% ni VAT sio income tax. Maelezo yako bado hayasadifu uhalisia.
Katika zama hizi ukifanya biashara bila uelewa (basic knowledge) ya kodi utajikuta unaumia.kama ufanyi biashara unaweza kuona elimu ni ya wachache.Alafu nyie wahasibu mnataka kuendeleza utapeli wenu na TRA .Ni wengi tumewashitukia
Sio kila anaetoa risiti ana VAT. Na kwa thread hii wewe sio VAT registered.Ni yale yale .Hapo unabidi upambane na manunuzi
Wahasibu na wanasheria Lao MojaSasa hivi nimetengeza system ya audit ya Ai ambayo mpaka TRA wana nuna na muhasibu kakimbia
Sheria ya hovyo,Ni vema ukaanza kujielimisha kabla ya yote ili uweze kuleta mada yenye hoja mjarabu na mifano halisia.
Kwa sheria zetu 18% ni VAT sio income tax. Maelezo yako bado hayasadifu uhalisia.